Redd's Miss Dar Indian Ocean,Diana Hussein akifurahia taji lake hilo muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi.Shindano hili limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
Washiriki wa Shindano La Redd's Miss Miss Dar Indian Ocean waliofika tano bora wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa taji hilo,Diana Hussein (katikati) waliosimama kutoka kushoto ni Jenifa Mani, Zulfa Vuai, Kudra Lupad na Jannth Mfinanga.
Tano Bora.
Washiriki wote stejini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...