Home
Unlabelled
Evans Bukuku Comedy Show @ Nyumbani Lounge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
he is good man. reminds me of churchill of kenya.
ReplyDeleteHuyu jamaa hachekeshi hata kidogo!
ReplyDeleteSECONDED
Deleteshukran issa muhidin ndugu yangu wewe poa sana nilitoa comment ya kutaka kumuona jamaa kwenye clips na sasa umetuwekea wewe poa sana may Allah bless you so much with your family and friends amin.
ReplyDeletemdau New York
Habari Ankal,
ReplyDeleteHuyu bwana anajitahidi sana. lakini ukweli ni kwamba ni vigumu sana kuchekesha kwa lugha ambayo sio asili yako. Angetumia Kiswahili angepata watu wengi zaidi na kuwaacha hao wazungu wachache anaowafurahisha hapo.
Comedy yake imekaa kama ya high end (waliosoma). Watanzania wengi hawajui kiingereza, yeye akiwa mmoja wao. Atumie Kiswahili ili kupata soko kubwa
jamaa sijamkubali hata kidogo hachekeshi kabisa analazimisha tu..watu kama kina mpoki au joti ndio comedians wa kweli
ReplyDelete