Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2012

    Asante Uncle Michuzi kwa kutuhabarisha. Nina ombi moja ambalo kuna uwezekano wa kutekelezwa na kufanyiwa kazi nitashukuru. Ombi lenyewe ni kuwa utuwekee link ya ku-share habari moja moja na siyo page nzima ya michuzi kwenye tovuti mbalimbali za kijamii mfano facebook, tweeter na kadhalika. Mfano hii picha ningependa ku-share na watu wengine ambao wenyewe kuja michuzi ni nadra sana. Nashukuru sana.

    Mdau US

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2012

    Hongera Sana cartoonist kwa hii kali...You think big! ndivyo picha inavyoonekana kwa viongozi wabinafsi...bravo!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2012

    Ajali kubwa ya dege, sitashangaa kuwa abiria waliokuwemo walinunua tkt kwa magendo na hata manifest na bima hazitakuwa na majina halisi. Bima italipaje

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...