KEKI YA BI KHADIJA
MDAU  KHADIJA MKADAMU aka AJUZA WA MIKUMBI AKIKATA KEKI KATIKA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 34 ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SANTORINI  BEACH BAR NDANI YA MANISPAA YA LINDI.
PICHA NA ABDULAZIZ VIDEO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2012

    Assalam Alaykum Bibie Khadija?

    Mashallah wewe ungali Mbichi na wala si Ajuza!

    Hongera kwa kutimiza idadi hiyo ya umri

    Kwani ng'ombe anazeeka maini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2012

    Mh. Mimi nina 37 lakini nakuona kama umenizidi umri. Piga tizi dada uzee unakukimbilia wakati bado mdogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...