Hongera Mamaa wa Silver Boutique kwa kubarikiwa kupata twins. Mungu awakuze na kuwalinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2012

    cute! hongera sana. boys or girls ?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2012

    Hongera sana.Mola akukuzie!Inaonyesha huyo bint mgongoni anaona wivu sana!Twins wamekuja kuchukua nafasi yake!
    Mwenyezi Mungu Akulindie watoto wako na wewe pia,na Baba yao!
    Ahlam..London

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2012

    MASHA ALLAH. Hongera sana! Both are so CUTE! Pamoja na dada yao pembeni. Mwenyeez Mungu akukuzie, kuwalinda na kukufanyia wepesi katika malezi yao, wawe watoto wema na wenye kheri nawe na kwa jamii nzima inayowazunguka. MOLA aibariki familia yako - AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...