This is to inform the general public that The Tanzania Bureau of Standards (TBS) has cancelled licence No. 0655 granted to M/s WTM Utility Services Ltd, Unit 19, Coldharbour House, Coldharbour Lane, Rainham, Essex, RM13 9YA, UK in connection with inspection of used motor vehicles originating from United Kingdom (UK) to Tanzania effective 2012-06-18.
By this notice all importers of used motor vehicles from United Kingdom are being advised to inspect their vehicles at the following company: Vehicle Operator Services Agency (VOSA). 
Please note that vehicles imported from United Kingdom without valid inspection certificate from VOSA shall not be allowed to enter the Tanzanian market.

For more details contact
Director General
Tanzania Bureau of Standards
P O Box 9524
DAR ES SALAAM

Tel: 255 22 2450298/2450206/24517636

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2012

    HUENDA IKASAIDIA KUZUIA UVUSHAJI WA MAGARI YA WIZI; LAKINI WATU WANAFYATUA NOTI ZA QUEEN, COINS, PASSPORT ZA UK WATASHINDWA KUTENGENEZA VIBALI VYA VOSA AAMBAVYO NI KUMSUKUMA MLEVI CHOONI!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2012

    HEHEHEHEEE KWELI NGOMA YA KITOTO HAIKESHI, NA MTOTO HAACHIWI ALALE NA HELA. kijana alipewa tenda kiulainii halafu akashindwa kuilinda badala yake yeye alikuwa mutu ya kujirusha na mademu. na hawa jamaa wenye tangazo hapo chini ndio wamemmaliza. hii vita tulikuwa tunaitazama tu lakini tulijua mwisho wake mtu atapoteza kitumbua chake. ningekuwa mimi ningehakikisha nailinda kazi yangu kwa kufanya ukaguzi vizuri na kuheshimu wanaoniletea hela , dharau kwangu ingekuwa mwiko, nikiona demu wa mtu namheshimu kama polisi. kwa sababu ukiangalia sana hawa walikuwa maafiki na inawezekana kabisa mmoja alimkosea mwenzake na kwa hasira jamaa akaamua kulipiza kisasi kwa kummaliza kabisa wtm.
    maji yakimwagika hayazoleki inabidi uyakaushe tu yapotee na usahau kuwa ulikuwa nayo. sasa nadhani huko east london kutakuwa kimya sana, pedeshee kwishnehi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2012

    Sawa tumewasikia na sie tunajua uk bila gari lako likitimiza miaka mitatu ni lazima kila mwaka likaguliwe na VOSA ili liweze kuwa barabarani.Swali hawa akina Ekelege walikuwa hawajui hilo?,kwa hili lazima watueleze pesa walizokuwa wakikusanya pale bar zilikuwa za serikali au zimeingia kwenye mifuko yao?.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2012

    Ukiona hivyo 'Bundi' ameunguruma!

    Wapigaji wamestukiwa tayari.

    Ulaji Kwishiney...!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...