Mshindi wa tuzo za Kili Music 2010 Bi Isha Mashauzi na Bendi yake ya Mashauzi Classic inategemea kufanya maonyesho yake kadhaa barani ulaya, akianzia mji mkuu wa Uholanzi The Haag. Kwa mujibu wa promoter wake King James wa Uholanzi, Isha amepania kufanya mashauzi ya nguvu katika Summer Europe Tour hii
Home
Unlabelled
isha kuepele mashauzi ya nguvu barani ulaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...