wachungaji wa kanisa la safina victory lililopo jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kusherehekea jubilee ya miaka 10 toka kuanza kwake jijini hapo.
waumini wa kanisa hilo wakiwa wanafurahia jubilee hiyo ambapo pia kanisa hilo limekuwa ni mkombozi kwa wananchin wa eneo la Unga Ltd kwa kuwa mpaka sasa limesaidia watoto wadogo pamoja na yatima.Picha na Mary Ayo wa Globu ya Jamii,Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...