Home
Unlabelled
KUMBE HELMENT HAINA UMUHIMU KWA ABIRIA WA BODABODA......!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
helment si ndiyo hiyo nyeupe aliyovaa kichwani; hapo vipi
ReplyDeleteUTAKUTA AMEPANDA BURE PIA HAPO...
ReplyDeleteAbiria yuko wapi hapo. Huyo ni PORISI na sheria zote ziko chini yake. Anaweza kazilinda au kuzitekeleza maana yeye ndiyo serekali ya rijamuhuri ra muungano!kama unabisha utasachiwa na utakutwa na bangi, unabishaa??
ReplyDeleteHahaha! akikuta wewe na kosa kama hilo hakuachi mpaka akuchomoe.Hawa ndio wasimamizi wetu wa sheria za nchi.
ReplyDeleteHiyo ni mbaroni! hajavua kofia inaelekea hakikueleweka.
ReplyDeletewewe uwe na adabu huyo sio abiria wa bodaboda ni polisi wa usalama barabarani.sheria inamtaka abiria kuvaa helmet sio polisi.msome mzielewe vizuri sheria jamani.
ReplyDeletekufuata sheria bila shuruti,ni vijimambo tu,kapanda bure huyo ni kawaida yetu,hatupandi bure ndege tu
ReplyDeleteRAHA SANA SIKU HIZI POLISI WANATUJIBU MASHAMBULIZI KWENYE BLOG TEHTEHTEH NIMEKUBALI MAJIBU YENU MIE NINGEMDONDOSHA MOHA THE AJUE HELMET ALITAKIWA KUVAA AU HAKUTAKIWA?
ReplyDeletelakini hizo kofia zina usalama gani jamani maana inavaliwa na kila mtu,vipi kuhusu magonjwa ya ngozi kuambukizana??????????
ReplyDelete