Mpendwa wetu Dr Peter Zachriah leo ni miaka mitano tangu umetutoka na kutangulia mbele ya haki tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi una kumbukwa na mke wako Lilian p Kopwe watoto wako Ronald , Paul , Nancy na Gerald pamoja na Wazazi wako kaka zako Dada zako shemeji zako wote pamoja na jamaa marafiki (Ayub 19:25 ) pumzika kwa amani
Home
Unlabelled
KUMBUKUMBU YA DR PETER ZACHARIAH KOPWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...