MR.ATILIO LUSINDE MWANG’INGO
MRS.ATILIO LUSINDE MWANG’INGO

Familia ya  MWANG’INGO na MZENA wa Dar na Iringa.  Wanapenda kutoa taarifa ya Kumbukumbu ya wapendwa wao MR & MRS. ATILIO LUSINDE MWANG’INGO. Kutakuwa na mkesha wa kuwakumbuka Marehemu hao siku ya tarehe 29/06/2012 kuamkia tarehe30/06/2012 nyumbani Mburahati na misa ya kumbukumbu kanisa la Mburahati siku ya Jmosi saa 12 kamili asubuhi na kumalizia kwa chakula cha mchana Nyumbani kwao Mburahati Dar es Salaam.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidime. AMEN

IMETOLEWA NA DOROTHY SENG’INGO WA DAR ES SALAAM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema. tunawakumbuka sana. Tuliwapenda, lakini Mungu aliwapenda zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...