Mrs. Janet Mfalila
07.07.1949 – 27.06.2006
Mama yetu mpendwa Janet Mfalila, imetimia miaka sita tangu ulipotutoka tarehe 27.06.2006 Unakumbukwa sana na Mume wako Mr. Leonard Mfalila,
wanao Samson na Peter, Wakamwana wako Georgina na Changila, wajukuu zako Mukava na Darren Maganga, Ndugu jamaa na marafiki.
Daima utaendelea kuishi mioyoni mwetu
Bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
Lala Salama mama Yetu, this picture has brought your great memories to us. I know you are in a great place
ReplyDeleteRest in Peace Shangazi
ReplyDeleteMindi Kasiga
Namkumbuka sana Mama Mfalila kwani alinifundisha Mwadui Secondary.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi-AMINA.
ReplyDeletePeter na Sam, Poleni sana. Tumuombe mama siku zote ili apate rehema ya milele.
ReplyDeletepoleni sana haya muendeleze ubunifu na utanashati wake. Mungu azidi kumuweka mahali pema.
ReplyDeleteOy
R.I.P mama Mfalila. Polesana Sam.
ReplyDeleteFJB.Columbus.OH.