Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2012

    Ni kweli tunahitaji mabadiliko nchi hii.Lakini nyie wote ni walewale. Nimejifunza kitu upinzani ulipoingia madarakani nchi jirani ya Kenya. Vururuvururu tuu. Kaazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2012

    Wenzetu wanavua Umaskini wanavaa Uchumi na Maisha bora ya kisasa, sisi tunapigana vijembe tu. Then ukishavaa uzalendo unakula au unatibiwaje? Tunaacha kuzingatia mambo ya msingi tunaleta ishu za Magamba na Magwanda. Hebu tuweni serious at least for ONE year then tujifunze.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2012

    Msemaji wa kwanza inaonyesha yeye sio mfuatiliaji mzuri wa mambo. Kenya sasa hivi wana maendelea makubwa na wanaendelea kwa kasi kubwa sana kuliko sisi tunaosema tuna amani. Madaraja ya juu ya kuondoa foleni ndani ya jiji la Nairobi yanajengwa tena kwa kasi kubwa. Hapa kwetu yako wapi licha ya ahadi hewa tu? Uwanja wa ndege Nairobi umepanua na kazi inaendelea, hapa kwetu tulikimbiza watu maeneo ya airport lakini hadi sasa lipi limefanyika?

    Mungu isaidie Tanzania

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2012

    Kenya wako mbali. Uwanja wa ndege ni mkubwa na ulishawahi nifanya niachwe na ndege kwa sababu wan defferent terminals ukichemka imekula kwako. Imagine nimeachwa na ndege kwa sababu uwanja ni mkubwa wakati hata uwanja mkubwa duniani kama schipol hauchanganyi kama wa Nairobi. Wenzetu wako juuu inabidi tuwe na wivu tuache majungu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2012

    kazi kwenu nyote

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2012

    Vua Gamba vua Gwanda vua Koti la Muungano Joto limezidi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 09, 2012

    vua gamba vaa uchaga !

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 09, 2012

    wachaga noma tayari wamesha print tishirts na kufuma vizibao vyenye rangi ya chama chao na hapo inaonekana bidhaa ziko sokoni
    kibiashara zaidi halafu muwapeleke magogoni vikao vyote vinavyofanyka riverside vitahamia ikulu...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 09, 2012

    KUMEKUCHA!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2012

    Nyie bakini mkilalamika tu biashara inaendelea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...