Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akisoma bajeti ya Ofisi yake Bungeni Mjini Dodoma leo.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mbunge wa Lindi Mjini , Salum Baluany kwnye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kulia ni Mtoto wa Waziri Mkuu, George Bush.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Hivi waziri mkuu ana mtoto anayeitwa George Bush?
ReplyDeleteKumbe ndo maana kipindi kile alitokwa na chozi kule mwanza. Why mtoto wake anaitwa George Bush?
ReplyDeletesi huyo umemuona pichani, sasa swali la nini tena hapo ?? au huamini. mkubwa kuwa mpana -kuna watoto wakuadopt siku hizi ,au hujui ?? au hilo jina limekuzuzua . Zebedayo wa Zebedayo. Mwanza Tanzania.
ReplyDeleteHuyu mtoto alimuadopt kutoka kwenye kituo cha kulea watoto.
ReplyDeleteHUYO MTOTO MHE. WAZIRI MKUU ALIMCHUKUA WILAYANI CHATO KUNA KIPINDI ALIFANYA ZIARA AKAMCHUKUA, ALIKUWA NI MIONGONI MWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, PIA KIPINDI HICHO KULIKUWA KUNA WIMBI KUBWA LA MAUAJI YA ALBINO, ALIMCHUKUA KUTOKANA NA HURUMA ALIYONAYO, AMEWACHUKUA WATOTO WENGI WENYE MATATIZO MBALIMBALI ANAKAA NAO NYUMBANI KWAKE NA KUWAPA HUDUMA ZOTE MUHIMU.
ReplyDelete