Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo akiongea na waandishi wa habari (hawapo Pichani) juu ya Kongamano la Michezo kwa maendeleo na amani litakalofanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Blue Pearl,Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Right to play Josephine Mukakalasi na kulia ni Meneja mradi Bw. George Agango kutoka British Council.Kongamano hilo limeandaliwa kwa ushirikiano wa Wizara ya Habari na Taasisi hizo.Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM
Home
Unlabelled
Leonard Thadeo aongelea ujio wa Kongamano la Michezo kwa maendeleo na amani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...