Home
Unlabelled
lugha gongana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wasukuma tunasema "mashi ga mbuli getee genaya!"
ReplyDeleteAlau hiyo ilyotumika hapo 'B' kidogo unaweza ukasema ipo 'ambiguous' . Kwa sababu can be whatever ladie's STUFF humo ndani....LOL
ReplyDeleteHUWA NASHANGAA KINACHOWASUKUMA WATANZANIA KUENDEKEZA UVIVU NA KUACHA KUJITUMA KUWEKA MAMBO SAWA BADALA YA LELEMAMA NI NINI? TUACHE KIJITUTUMUA KUTUMIA LUGHA AMBAYO HATUNA UJUZI NAYO. TUTUMIE KISWAHILI CHETU NA VIELELEZO ILI TUELEWEKE ZAIDI.
ReplyDeleteKuuliza siujinga. Tuwe na tabia ya kuomba msaada pale unapoona huna uhakika. Omba watu wawili ama watatu wapitie kazi yako kabla ya weka hadharani. Maneno mengi ya kiingereza hufanana matamshi ila hutofautiana helufi.
ReplyDeletedu! tatizo za kutumia st govt school language katika mazingira tofauti
ReplyDeleteElimu na kutojitambua umuhimu wa lugha yetu, sasa hala hala Gents usiandike wanauume andika wanaume na kama uko shinyanga vjjn andikaga bhagoosha.
ReplyDeleteWe chizi umejuaje ni TZ? mbona Kwanini sio Kenya au Uganda? unafikiri hata kenya wote wamesoma?
ReplyDeleteChizi kweli wewe!
Ahahaha...kingereza ni wito!!
ReplyDeletekaka hapo ju unasema jamaa angeuliza watu wawili ua hata watatu lakini nauna na wewe pia huna tabia ya kuuliza ,neno la mwisho haliandikwi-helufi- bali ni herufi.
ReplyDeletenyie mnaocheka walioandika mlisha kutana na Wajamaika naamini kila mtu aliyekutana nao kwa mara ya kwanza ilikuwa kazi kweli kweli kuwaelewa kwa mara ya kwanza, yaani mi nilikuwa nawakimbia na bahati mbaya nilikuwa nafanya nao.
ReplyDeleteMdau wa Fri Jun 29, 10:23:00 PM 2012
ReplyDeleteSi vyema kujitetea kufanya makosa kwa kuwa wengine wanakosa. Wajamaika wakiwa wanaharibu au kutojua kiingereza vizuri haimaanishi kwamba na watanzania nao waige