Wakurugenzi na Mabalozi wapya wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  walioapishwa hivi karibuni wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Wizarani. Kutoka kulia ni Balozi Dora Msechu, Mkurugenzi, Idara ya Ulaya na Amerika, Balozi Irene Kasyanju, Mkurugenzi na Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Balozi Bertha Somi, Mkurugenzi, Idara ya Diaspora na Balozi Naimi Aziz, Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda.
 Mabalozi hao wakiwa katika picha ya pamoja na Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa baada ya kuwapokea Wizarani. Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Picha na Rosemary Malale 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2012

    Muhariri tafadhali tulia uhariri vizuri kazi yako kabla hujaiweka kwa public, sasa hiyo WALAKWIA means what...?!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2012

    Kushoto mstari wa nyuma pembeni kabisa sijui na yeye ni mwanamke au ni macho yango tu!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2012

    Huyo mpita njia tu
    ,kama unavyoona hajakaa mkao wa kupiga picha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2012

    huyo kushoto mstari wa nyuma unayemsema picha inaonyesaha kabisa kama anapita.......jamani mpaka uandikiwe kuwa jamaa anapita

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2012

    Ahhh mwanaume ni mpita njia tu isije ikasomeka nae anajihesabu ni.......kama wenzetu wa Jinsia inayopingana na uhalisia!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2012

    Jamani kama huna hoja ya maana kulingana na tukio lenyewe unatuma ya nini???? Hongereni sana akina mama, kwanza mmependeza, pili mwanamke akipewa anaweza, naamini mnaweza. Big Up!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...