Kaimu Muhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Bwana Shaddy Kyambie akitambulisha kwa wahandishi wa Habari (hawapo pichani)  huduma mpya ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali katika hifadhi ya Ngorongoro kwa njia ya mtandao ijulikanayo kama Smart Card kushoto ni Afisa Habari Mkuu Bwana Mwirabi Sise na kulia kwake ni Meneja Uhusiano wa Mamlaka hiyo Bwana Adam Akyoo.(Picha na Benjamin Sawe).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...