Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (kulia kwa aliyevaa blauzi ya kijani) akipongezwa na wafanyakazi wa ofisi yake baada ya kumaliza kusoma hotuba ya bajeti Bungeni leo mjini Dodoma
Wanahabari wakiwa bize kurusha mambo baada ya hotuba ya bajeti kusomwa leo Bungeni mjini Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2012

    ANAPONGEZWA NINI WAKATI BUDGET YENYEWE NI MIMBA TU. HATA CHADEMA NI MIMBA PIA WABUNGE WAO NDIYO MIMBA KUBWA WANA SHINDA KWENYE BONGO FLAVA WANAPIGA MUSIKI NA KURAP KAMA KUKU, HAFADHALI CCM IENDELEE KULA URODA WA NCHI KULIKO KUWAWEKA WACHEZA NGOMA WAKINA SUGU AMA VITOTO VIDOGO KAMA SUMARI HATA MAANA YA BUNGE HABHIJUI BADO BHUNANUKA MAZIWA. CCM PONDENI TU MALI HATUNA WAPIZANI WA KUTOSHA KWENYE CHADEMA NI MIMI NINAVYO ONA HILI SWALA LA VYAMA VINGI NA BUDGET YA NCHI NZIMA NI SWALA ZITO KABISA KABISA SIYO LA KUWEKEHA MUZAHA WOWOTE HAPA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2012

    Caption ya picha juu imekosewa: waziri wa kiume hawezi vaa blauzi ya kijani...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2012

    "Everybody wants to go to Heaven but nobody wants to die" how is that? Its funny uh? Kila mbongo anataka kuwa na maisha mazuri na kila mbongo anataka kuona bongo kuwa nchi nzuri ya kuishi, hii ikiwa na maana elimu bora, huduma bora za afya, mabarabara mazuri, umeme wa uhakika, teknologia yetu, kutokomeza mbu na nzi you name it, lakini hakuna hata mmoja anayetaka kujishughulisha in order all thise to happen. Tanzanian people where are we? We need collective effort and unity of action. Let's start now by singling out each necessity and work on it. Let's balance entertainments and politics VS production. When I say production I mean industrial products and agricultural produces.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...