Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live Jumapili
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba usiku wa Sugu ndani ya Dar Live.
Sugu na Mkoloni wakizidi kuwadatisha mashabiki.
Profesa Jay akiwapa burudani mashabiki wa Dar Live.


Mhmmmmmm kweli safari hii wabunge tunao Tanzania tunaelekea wapi jamani ndo nini hii?????
ReplyDeleteASALAAM ALEIKUM MICHUZI NA WADAU WOTE WA BLOG YA JAMIIII.....
ReplyDeleteSasa pamoja na shida nyingi zinazo likabiri taifa letu za kupambana na rushwa,umaskini, elimu duni na shule mbovu na chakavu, barabara mbovu, ukosefu wa dawa na vitendea kazi mahospitalini,mfumuko wa bei na shilingi kushuka thamani na mengineyo chungu nzima. leo mheshimiwa Sugu ana sahau yote ana panda jukwaani kuimba bongo flava eti usiku wa sugu? kama haya ndiyo mageuzi Tanzania inayataka kupitia chadema nakutakieni HERI ndugu zangu. Ni kweli ccm imekaa madarakani muda mrefu na labda watu tumechoka tuna taka mabadiriko lakini ndugu zanguni kweli mna fikiri Sumari na Sugu wata waletea kipya zaidi ya hizi ngonjela? Kwa nini watanzania msiwabane ccm wawapatie watu kama Kina January Makamba? bado ccm ina wasomi wengi wazuri wenye sifa za uhakika ingawa kuna matatizo yamejitokeza katika kipindi cha miaka 50. Mimi naona ni bora tukirekebishe hichi chama cha miaka 50 kuliko kuweka wacheza ngoma watu ongoze, sina dharau na Mr. Mbilinyi wala Nasari ila mimi naona hawa watu wangefaa hapo walipo sasa kuliko kwenda kwenye siasa, huko hawafai kabisa.Wana tutia aibu matatizo ya nchi ni makubwa sana. Mungu ibariki Tanzania.
Concert inaonekana kuwa iko 'kichama' zaidi! Je, imeandaliwa kama ni sehemu ya publicity ya hicho chama?
ReplyDeleteProfesa wa ahadi za asali na Maziwa Prof. Jay naye ni wakati aingie Mjengoni Dodoma tena itafaa awe CCM ili abishane na Mh. Sugu!
ReplyDeleteJe Prof. Jay upo tayari kuchukua kadi ya Chama Tawala?
Itafaa sana kwa kuwa watabishana hoja hadi ktk Majukwaa ya burudani na Muziki!
It is indeed good for our politician to have time with the people,that show the close distance or relationship,The two MP are exampled to other who keep distance from people.Pro J give them more message on service delivery and the fight against corruption.
ReplyDeleteM S Magai
Wapeni nchi hawa watu wa ku-rap hehehehe ama kweli siasa imeingiliwa.
ReplyDeleteNyie fanyeni mchezo na maisha tuu.
Sugu unatisha jitahidi urahisi unakusibiri.
ReplyDeleteMawaziri na wasaidizi watakuwa wakata viuno na wacheza shoo. Nguo rasmi ni zile suruali za kukata matakoni zinaitwaje, basi ndio hizo.
ReplyDeleteThis is an absolute joke! These two gentlemen were given mandates by their respective constituecies to do what exactly? Mess about on stage like a bunch of imbiciles?
ReplyDeleteI am not all amused. Tuachane na mambo ya vyama. Huu ni ujinga. Wananchi wao wana matatizo mengi, wao wanaimba Bongo Flava. Hongereni wananchi. Brilliant choices indeed.