Mhadhiri Mwandamizi ambaye pia ni Mkuu wa wilaya Mbeya,Dkt. Noman Sigalla akitoa mada kwenye hoteli ya Golden Rose mjini Arusha leo iliyohusu Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi na watendaji wa Serikali katika kusimamia Rasilimali za Umma ulioandaliwa na Muungano wa Asasi sizizo za kiraia mkoa wa Arusha(Angonet)
Wafanyakazi wa Kituo cha Sunrise Radio FM cha mjini Arusha,Severinus Mwijage,(kushoto)Kessy Lukumay na Khamis Abtway aka Dj Hazoo wakiwa makini kuhakikisha matangazo ya moja kwa moja yanaenda hewani ipasavyo kwenye Mdahalo kuhusu Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi na watendaji wa Serikali katika kusimamia Rasilimali za Umma uliondaliwa na Muungano wa Asasi zisizo za kiraia mkoa wa Arusha(Angonet)leo.
Viongozi waserikali za mitaa kutoka halmashauri tatu za Arusha vijijini, Meru na Manispaa ya Arusha wakiwa kwenye Mdahalo kuhusu Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi na watendaji wa Serikali katika kusimamia Rasilimali za Umma ulioandaliwa na Muungano wa Asasi zisizo za kiraia mkoa wa Arusha(Angonet) leo mjini Arusha.





uwazi gani na huku wananchi.go.tz hawataki kujibu kero zetu AU haifanyi kazi: Imekufa!
ReplyDelete