Home
Unlabelled
Mkakati wa kuitangaza Tanzania nchini Ufaransa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wiki2 zilizopita nilikuwa pale Dodoma na rafiki yangu toka Zambia kaniambia anataka wine nikajua nipo dodoma wacha nimtafutie dodoma wine lakini kila sehemu nilikopita nilikutana tu na south African wine hapo nilichoka. Hivi tutaendelea kwa kuwa soko la bidhaa za wenzetu? wizara ya biashara na viwanda kazi yake nini?
ReplyDeleteiTANGZENI NCHI ILI WATALII WAJE LAKIJI MSIPOACHA UFISADI MKAELEKEZA FEDHA KWENYE UJENZI WA MIUNDOMBINU ITAKUWA KAZI BURE.
ReplyDeletenaomba sana jamani mje na huku finland bado hawajui lolote wanadhani sisi ni masikini sana ndio maana wanatu bagua sana.kingine bidhaa zakuonyesha hazitoshi juzi tulikua na festival huku finland kulikua hamna vitu vyakuangalia zaidi ya vitabu cd za ngoma.
ReplyDeletePia mnapotangaza waambieni kuwa huku kwetu tuna mawaziri safi sana ambao wanaishi kama wapo peponi hivyo wao waje tu wasiwe na shaka kwani ardhi tunayo kubwa sana ni wanyama tu wanaishi huko.
ReplyDeleteIli kwenda na kasi ya Maendeleo na kufikia Malengo, tutalazimika kuwapiga bunduki Mafisadi!
ReplyDeleteSasa tufanyeje?
Kama tutaitangaza nchi Watalii wamiminike kutoka Duniani kila kona na kukuta nchi yetu mbovu ktk miundo mbinu haiko sawa umeme ni kiza si tutaaibika bure?