Tamasha la kila mwaka la Mtemi Milambo limezinduliwa leo  tarehe 1/6/2012 mkoani Tabora ambapo Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Fatma Mwassa katoa wito kwa wananchi kuuenzi utamaduni wao kwani msahau kwao ni mtumwa. 

Tamasha hili linafanyika katika viwanja vya shule ya 
Uyui Tabora tarehe 1-2, Juni,2012. 

Pichani juu ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh. Fatma Mwassa akijiandaa kurusha mshale juu kama ishara ya uzinduzi rasmi wa Tamasha hilo. Pembeni yake kulia ni Chief Promotions MD Bw. Amon Mkoga. 

Tamasha hili linadhaminiwa na TBL kupitia bia ya Balimi,Airtel, Swiss Cooperation, TTB, Channel Ten, Michuzi Blog  na Magic FM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2012

    Swali Wadau ni Mirambo au Milambo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2012

    Mtemi MIRAMBO, aka Mtyela Kasanda, he was a tough chief, rulling between 1860 and 1884, Henry Morton Stanley dubbed MIRAMBO "The African Bonaparte" for his military talents and ability.He was blocked the gold trade routes, and the price of Gols soared world wide.Mirambo died at the tender age of 44 due to ill health.He was probably strangled, as it was the old NYAMWEZI custom to strangle their Mtemi when they become unfit to rule.
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2012

    Anony wa kwanza jibu sahihi ni Mirambo.... Milambo kwa Kinyamwezi ina maana tofauti... Ina maanisha mizoga! Watu wamekuwa wanachanganya mno na hata ile timu ya mpira ilikuwa inakosewa kwa kuitwa Milambo badala ya Mirambo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...