Happiness na nduguze wakati wa mnuso wa send-off yake katika ukumbi wa Msasani Makuti jijini Dar es salaam
 Baba na mama wadogo wa Happiness wakitambulishwa
 Happiness na Dadazzzzz
Happiness na wa ubani wake, Xavier.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2012

    hongera sana nakutakia ndoa njema yenye amani.

    dada oy

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2012

    Hongera Happy, Mungu awabariki katika ndoa yenu....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2012

    wamendeza sana na wako simple yaani sijawahi kuona walivyopendeza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...