Kundi la THT wakishirikiana na Wanne Star wakitoa burudani wakati wa mnuso ulioandaliwa kwa wajumbe na wageni wa Mkutano Mkuu  wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika hoteli ya Ngurdoto Mountain lodge jijini Arusha usiku wa kuamkia leo
 JK akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla hiyo
 JK akisalimiana na  vijana wa Arusha wakati wa hafla hiyo
The Kilimanjaro Band 'Wana Njenje' wakitoa burudani katika mnuso huo

Baadhi ya wageni waalikwa kwenye mnuso huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2012

    mnuso kweli huo,kuleni dunia bado mpo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...