HAVING AN OUTDOOR EVENT AND WORRIED OF TOILET FACILITIES?
PLEASE CONTACT: 0789 777 990
                                    0786 440 833
                                    0767 666 777
                                    022 261 7100
             Email: gertrude@intercapitalgroup.net    
Our toilets are equipped with urinals, 
toilet paper holder, light and are scented      
THE FACILITIES COME WITH BOTH MALE AND FEMALE ATTENDANTS FOR YOUR CONFORT

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2012

    si mseme bei shilingi ngapi, ni hadi mtafutwe kwa ajili ya bei tu.

    wengi wakiogopa kusema bei mwanzoni huwa wana overcharge.

    kompetisheni ni kubwa, marketing ni muhimu kuijua.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2012

    KWELI HIVI VYOO NI VIZURI HASA PALE INAPOTOKEA MNAKUWA WATU WENGI NA SEHEMU YA HUDUMA NI NDOGO AU HAIPO KABISA, WASIWASI WANGU NI JINSI VILIVYOJENGWA VIPO JUU NA MAUMBILE NI TOFAUTI (NAJUA HUWA VINATENGWA KWA WANAUME NA WANAWAKE) LAKINI SI WOTE WATATUMIA KWA USTAARABU NA MARA NYINGI NI KATIKA SHUGHULI, SASA WATU TOFAUTI WENGI UNA NGUO ZAKO MARIDADI UKIINGIA UNAGUSA SEHEMU AMBAZO TAYARI ZIMECHAFULIWA NA WALIOTANGULIA (VYOO VINGINE NI VIDOGO NDANI). SAMAHANI KAMA NIMEWAKWAZA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...