Home
Unlabelled
MWANADIASPORA DR. RAMADHANI MWIRU ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dj luke hii poa sana clip ya dr ramadhani mwiru, nakushukuru sana kwa kuweka hii kitu je mtu ukitaka kuwasiliana naye unampata pataje?
ReplyDeletena chapili nina swali langu anajua kwamba ukimwi dawa imeshapatika lakini kwa manufa ya watu fulani wameamua kutoitoa hii dawa ili watu wapungue duniani, kitu hichi ni kweli kabisa na nina ushahidi nacho nina documents kibao nilizozisoma
na anajua kwamba ukimwi virus zake zimetengenezwa huku huku majuu na kusambazwa Africa ili tupotea, ukipata muda mkuu hebu muulize please
mdau New York
safi sana dr ramadhani mwiro wewe ni ngayo yetu na mungu akujaliye masomo mema na kila la kheri hapa duniani na kesho akhera na please tukitaka contact zako tutazipata je michuzi mulize muhusika
ReplyDeletena muulize katika utafiti wake amegundua au amesoma mahali kwamba ukimwi dawa yake ipo its true ipo lakin watu hawataki kutoa kwa manufaa yao
na jambo la pili ni kwamba huu ukimwi amegundua kwamba virus ile tengenezwa huko alipo anaposoma
weke hii comment mkuu please
Ndugu yangu Mwiru, PhD. ni international degree umeshindwa kuielezea namna gani baadhi inawachukua miaka 3 na wengine 5. Ukweli ni kwamba, sheria inaruhusu mwanafunzi wa PhD kusoma kati ya kipindi cha miaka 3-5. Zaidi ya hapo chuo kinapaswa kufuta usaili wa mwanafunzi. Suala la miaka mitatu au mitano ni suala ya posho ya kujikimu na sio shule yenyewe.
ReplyDeleteUSHAURI MDOGO NA WA MSINGI KWA DJ LUKE:
ReplyDeleteInterview zako ZINABOOOOOA but you can improve them.SIjafuatilia sana lkn hizo chache nilizionagalia 1.sikuwahi hata kufuatilia mpaka mwisho kwa sababu haiwi intresting.Unapofanya interview ndefu kama hii jiandae,angalia mifano documentaries za CNN.
2.Unapoanza kabla hatujafika historia fupi ya unayemuuliza hakikisha UNATUCONVINCE audience tuendelee kumsikiliza,niliangalia hile ya DMK hata sikumaliza DK 1.
3.IGa from experts, edit video zako,mifano mingi tunaiona cnn, this is too much ukimaliza interview edit your video na kupangilia vitu muhimu na interesting facts ili kupata attention ya audience, YANI KWA KIFUPI HIZI VIDEO HARAKA HARAKA ANAYEANGALIA HAJUI ZINAMUONGELEA MTU (ILI TUWE INSPIRED) AU ZINAONGELEA KAZI ANAYOIFANYA.Either way they are both good ideas ila zinahitaji kutengenezwa vizuri ziweze kuwa effective.
Hayo machache tu naaamini u are working on it ila nimeamua niandike ili uone kuwa na sisi tunaliona hilo tatizo.
All the best.
Mdau Ohio