Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akizungumza katika hafla ambyo NBC ilikabidhi hundi ya Dola za Kimarekani 70,000 kwa ajili utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati unaoandaliwa na kampuni ya KPMG kwa kushirikiana na Kampuni ya Mwananchi Communications. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KPMG Tanzania, David Gachewa.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya Dola za Kimarekani 70,000 kwa waandaaji wa utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya KPMG, David Gachewa (kulia) na Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications, Theopil Makunga. Hafla ya makabidhiano imefanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (katikati) akishikana mikono na Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communications, Theopil Makunga katika hafla ambayo NBC ilikabidhi hundi ya Dola za Kimarekani 70,000 kwa ajili utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati unaoandaliwa na kampuni ya KPMG kwa kushirikiana na MCL. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KPMG, David Gachewa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...