FFU wa Ngoma Africa kuvamia AFRO-Ruhr Festival !Mjini Dortmund, UJerumani jumamosi 30 Juni 2012
Kikosi kazi cha Ngoma Africa Band aka FFU yenye makao yake kule Ujerumani,wanategemewa kukwea jukwaa la Afro-Ruhr Festival, siku ya jumamosi 30 Juni 2012 mjini Dortmund,Ujerumani.
Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya inayoongozwa na mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja wa FFU,itapeleka mzimu wake wote wa dansi katika onyesho hilo kubwa la aina yake,washabiki wa muziki katika onyesho hilo wanakumbana "Jino kwa Jino" na makombora ya muziki wa Ngoma Africa band aka FFU, bendi hiyo kwa sasa inatamba nyimbo zake za "Supu ya Mawe" ,"Uhuru wa Habari" na "Bongo Tambarare" ambazo ipo katika CD ya "BONGO TAMBARARE" pia zinasikika katika kambi yao FFU at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
Kile kikamanda ketu Ras Makunja,kimeanza tena?
ReplyDeletena mabaraha yake
Kile kikamanda ketu Ras Makunja,kimeanza tena?
ReplyDeletena mabaraha yake
Kamanda mkuu wa ffu,chonde chonde baba...na makombora ya machozi,uwe na huruma kamanda
ReplyDeleteSio mchezo vichaa ffu wanafanya kweli,na kazi yao tunaikubali
ReplyDeleteKaka kamanda ras makunja na kikosi shughuli ngoma afrika aka ffu aka watoto wa.....mbw? kazi zenu nzuri,lakini kufanya kazi na mkuu wa kikosi inakua ngumu..masharti ya msanii kugeuka mjeshi ni hatari hakuna enjoyment
ReplyDeletekamanda mkuu ras makunja mie nipo bongo naomba kazi,lakini uwanajeshi siuwezi wa kuperekana mbio kila kona
ReplyDeleteffu onyesho lenu la 2010 Hamburg,mnakumbuka washabiki wenu walivyosongamana na kusababisha mtu kupoteza maisha? ndio maana mwaka jana 2011 promoter wenu alipewa masharti magumu na manjago wa hamburg,kama anawataka lazima ulinzi uwe mkubwa kwa gharama zake,bahati yenu nasikia mwaka huu umekubaliwa tena.chungeni sana uha ni zawadi kila kiumbe kutoka kwa mola wetu.
ReplyDeleteMdau
Hamburg
naona kama Ras makunja umeimarisha ulinzi siku unapiga doria na chui badala dog domobaya
ReplyDeletenaona kama Ras makunja umeimarisha ulinzi siku unapiga doria na chui badala dog domobaya
ReplyDelete