Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa kinyang'iro hicho,usiku huu kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar.
Tano Bora.
Kumi Bora.
Washiriki Wote wakipita kwenye steji.






Westernization of Africa, so very Sad, no longer "msuko wa twende kilioni", "Kilimanjaro", "Vitunguu"nk, all these bl..dy fake hair extensions,I never thought this will happen in my life time, but it is happening now.Where is the truly black beauty gone?, I wonder if anyone is using "mafuta ya nazi", any how, may be I am old fashion, but I call myself traditionalist, God bless Africa, God Bless Tanzania.
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi.