Rais Jakaya Mrisho Kikwete akila pozi na baadhi ya wapiganaji wa jiji la Arusha a.k.a cream ya wanahabari wa jiji la Arusha ambalo walifika uwanja wa ndege wa Kimataiafa wa Kilimanjaro na baadaye hoteli ya Ngurdoto wakati wa ujio wa Rais wa Somalia Sheikh Shariff Sheikh Ahmed jioni hii. Wa tatu kushoto ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo na wa kushoto kabisa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh. Nyirembe Munasa.
Wengine toka wa pili kushoto ni wapiganaji Peter Saramba (Mwananchi), Prisca Libaga (MAELEZO), Raymond Nyamhula (Star TV), Mustafa Leo (Uhuru FM), Shabani Mdoe (Uhuru na Mzalendo), John Nguge (Nipashe), Deogratius Mpwaji (Star TV), Mark Nkwame (Daily News) na Filbert Rweyemamu (Mwananchi)
hahha bora ana kukumbukumbu yenu U-DC utafuata
ReplyDelete