Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Utawala CCM Makao Makao Makuu Dodoma marehemu Mwangunza Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana.Marehemu Kinyamagoha alifariki hivi karibuni.
Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...