Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Somalia,Mh. Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye leo june 2, 2012 jijini Arusha.Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika na pia akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivu unarejea nchini Somalia.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mgeni wake Rais wa Somalia,Mh. Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye leo june 2, 2012 jijini Arusha.PICHA NA IKULU
kafanana na bosi wa nssf
ReplyDelete