Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukutana nao leo Juni 4, 2012 katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha.Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa kikao chao cha kwanza na wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kesho ambapo wanatarajiwa kuchagua Spika wa Bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu yao.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukutana nao leo Juni 4, 2012 katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha. Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa kikao chao cha kwanza na wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kesho ambapo wanatarajiwa kuchagua Spika wa Bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu yao. Kushoto kabisa ni desk officer wa EALA Bi. Justina M. Shauri, akifuatiwa na Mh Charles Makongoro Nyerere,  Dkt  Twaha Taslima, Mh Maryam Ussi Yahya, Alhaj Adam Omar Kimbisa, JK, Mh Shy-Rose Bhanji,  Mh Bernard Murunya, Mh Angela Charles Kizigha na Mh Abdullah Ally Hassan Mwinyi. Aliyekosekana hapo ni Mh Nderakindo Perpetua Kessy. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2012

    JK hilo shati kama la Mzee Madiba.Nakukubali kwa 'pamba' mkuu.Nakuombea afya njema Mh.Rais

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2012

    Wot is their role actually, are they full time legislators and legislating what and for who? I see Mr Kimbisa smiling, must be change of job. But some of these failed to be MPs in the National Bunge, who voted for them?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2012

    Wot is their role actually, are they full time legislators and legislating what and for who? I see Mr Kimbisa smiling, must be change of job. But some of these failed to be MPs in the National Bunge, who voted for them?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2012

    Ndio Hongera Mhe. Raisi wetu JK kwa ku keep figure!

    Kutokana na hulka zisizokubalika (kula kupita kiasi, ulevi, na maisha ya anasa) Maraisi wengi duniani hawana maumbo maruwa!

    Hapo ulivyo simama shati limekaa powa na suruali pia imekaa powa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...