Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika Mazungumzo na balozi wa Marekeni hapa nchini Mhe. Alfonso Lenhardt alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikilza kwa Makini Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo
Naibu Spika wa Bunge akiwa katika amzungumzo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Jumanne Maghembe alipo mtembelea Ofisini kwake Dodoma leo.


Never seen a speaker so busy. Does anyone know the speaker of UK, Kenya etc. I think she is doing too much. There needs to be a job description for her. I grew up in Bongo in the 70s, We never heard of the Speaker.
ReplyDeleteHivyo viti wanakalia hata White House USA hawana. Bongo tunavyotumia hela ya umma utafikiri hakuna kesho wala wajukuu zetu. Unnecessarily overworking to show off?
ReplyDeleteHatuna waziri wa Maji na Umwagiliaji kwa sasa Maghembe ni wa Maji. Umwagiliaji umerudi kilimo kama idara na hausikiki kama ulivyokuwa maji ingawa upo.
ReplyDeletesesophy