Mdau akipita mbele ya stesheni ya Dar es salaam ya Shirika la Reli. Wananchi wengi wana hamu ya kuiona stesheni hii inarejesha uhai wake wa zamani kwa kurejeshwa tena huduma za uhakika za reli nchini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2012

    Wadau wote tunapenda kuona hilo ila matransporter walishawatuliza watendaji wa wizara ili biasha yao ishamiri na wazidi kutuharibia barabara.Biashara yao itashamiri kwani gharama za kusafirisha mizigo kwa reli ni 1/3 ya gharama ya kusafirisha kwa barabara.Sasa nilitegemea huyu Waziri wa Mawasiliano angeanza huku na Tazara kuliko kwenda kufukuza watu ATCL bila kufanya utafiti kwanza na kusikiliza majungu ya watu waliomizwa na menejiment ya ATCL kuleta ndege bila kuwashirikisha (hivyo kushindwa kuweka chajuu kwenye bei ya kulease) na kitendo cha kutengeza Dash 8-Q300 hapahapa TZ badala ya kuipeleka South ambako wangeweka cha juu na kuvuta mkwanja wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...