Mh Mwanaidi Maliki Saidi Kiongoli anatangaza kifo cha mume wake mpendwa kilicho tokea tarehe 31/05/2012 katika hospitali ya muhimbili.
mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu pangani kibaha na nyumbani kwa mkwe wa marehemu bwana Davis Mosha mikocheni dar es salaam.
mazishi yatafanyika tarehe 04/05/2012 siku ya jumatatu mchana nyumbani kwa marehemu pangani kibaha habari ziwafike ndugu wa marehemu ndugu wa mke watoto wa marehemu waliopo nchini Australia pamoja na ngugu wa bwana Devis mosha marafiki wote wa familia ya marehemu na marafiki wa bwana Devis Mosha bwana ametoa bwana ametwa jina lake lihimidiwe.
amen


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...