Hapa ni Sea Cliff, Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2012

    Hiyo Bonge ya Twasira Sorry nimeingilia tizama African Tribe in India.

    http://www.youtube.com/watch?v=pJFiut0s-ys

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2012

    Dem nice tanzania yetu tunakosa viongozi na kujitangaza vizuri tu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2012

    duh,bonge la taswira,yaani umeipiga picha hii vizuri jamani,mtu asiyepajua hapa palivo anaweza kuwa na maswali mengi,picha nzuri sanaaa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2012

    picha nzuei sana, hizi ndo zingetumika kupromote utalii jamani

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2012

    Hapa panabadilika kila mwana hawakuwa hivi maji yana erode nchi kwa kazi sana. In he next 20 years sura hii itaadilika kabisa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2012

    hii picha imepigwaje.. what type of lens were you using...
    I just love this

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2012

    very nice photo...big up!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2012

    Bila kusoma maandishi kama ni DAR nilishawaza kuwa hii lazima nchi za wenzetu duu jamani viongozi amkeni mtangaze mazuri ya TZ

    ReplyDelete
  9. picha nzuri mheshimiwa....ankali unatishaaa.safi sana bwana michuzi

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2012

    ebana hii kitu ni soo...daaah mi nikadhani ugenini...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2012

    Kwangu mimi ni adjustment ya lens tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...