Mabango yaliyoandikwa kiswahili na Bendera ya Tanzania zikipepea kwenye matembezi hayo ya Susan G. Komen yaliyofanyikia Washington, DC, Nchini Marekani Jumamosi June 2, 2012 saa 2. asubuhi.
Team Tanzania ikiongozwa na mnusurika wa Saratani ya matiti Aunty Rehema (wapili toka kushoto)
 
Watanzania waliojumuka pamoja kwenye matembezi ya Susan G. Komen wakipata picha ya pamoja kwenye picha toka kushoto ni Aunty Asha, Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Asia Dachi na Salma Londa.
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2012

    Thumbs up, Thumbs up Thumbs up for the good deed.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2012

    Very good, lakini mbona mumekosea spelling ...... ni Saratani na siyo Sarakani

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2012

    Haya Aunt Sia umependeza,we real miss u

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2012

    ndugu zangu mliopo huko Marekani na kwingineko hali ni mbaya kwa kinamama hapa Tanzania hali ya tiba sio nzuri na kina mama wengi wanakufa kwa kukosa tiba ya haraka wakati Ocean Road Cancer Institute imezidiwa na madaktari ni wachache vifaa ni vibovu na ile awareness tu hasa vijijinihakuna tusaidieni

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2012

    This is real good, huku UK Watz wamebaki maneno tu tena hawapendani kabisa, Igeni mfano huu na achani ubaguzi tuwe sawa walio na vitabu vyekundu na kijani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...