Afisa Uhusiano Wa TFDA alikabidhi zawadi kwa niaba ya Mamlaka Hiyo katika kituo  cha guardian Angel.
Pichani ni baadhi ya zawadi zilizotolewa katika vituo vya watoto yatima vya Kijiji cha furaha cha mbweni na kituo cha Guardian Angel cha Mbezi juu,jijini  Dar  es Salaam. Zawadi Hiyo zimetolewa Kama mwendelezo wa utaratibu uliowekwa wa kuchangia  watumishi pamoja na uongozi wa  Mamlaka wa  kukumbuka Jamii iinayoizunguka TFDA. Jumla ya thamani ya zawadi zote ni Tsh. 4100,000.
Hapa ni mwakilishi wa Kijiji cha furana akipokea zawadi. Kituoni hiki kina watoto wapatao 110 ambao hutunzwa hap a. Bi. Gaudensia Simwanza alikabidhi zawadi kwa kituoni honcho.
Mlezi wa kituoni akiwa na baadhi ya watoto baada  ya kupokea zawadi katika Kijiji cha furaha Mbweni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2012

    toeni misaada ambayo ni endelevu kwa watoto ,hasa ELIMU ya hawa watoto ndio kitu cha msingi sana ,taasisi kubwa kama TFDA yeye ''wasomi'' lukuki ilibidi waone mbele zaidi ya Chakula cha leo na kesho ,waanzishe ''mfuko wa Elimu ya watoto Yatima'' na sisi wengine tungechangia,ungekuwa endelevu,hizi za kutoa mchele ili upige picha sioni kama zinasaidia sana.............chakula yes ni muhimu ila tungalie Future jamani.

    Nawapa changamoto
    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...