Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2012

    wizi mtupu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2012

    Haya maneno tumesha yasikia sana lakini ikumbukwe kuwa wakati umebadilika watu wamebadilika Siasa za Ujamaa za mwalimu zimekufa kila mtu au kiongozi anataka kuwa Tajiri saa kama kusikiliza maneno ya mwalimu basi inafaa kuweka zile hotuba ambao anapigia kelele wizi leo hakuna asiejuwa hapa Tanzania na Ulimwenguni ni nani aduwi wa Uchumi wa Tanzania kwa manaa nyingine tunalindana tuendeleza kujitengezea utajiri

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2012

    zilipendwa, we are in the 21st Century. Ona mafisadi etc etc yako hadi ndani ya Bunge ambalo ndilo linatunga sheria. Do we really need the Bunge?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2012

    mbona ulimuajia yule mtu kwa vile kaja baba askofu siyo,longa longa tu ndo alizokuwa anazijua

    ufisadi upo leo sehemu zote za nchi yetu na wala hajifichi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2012

    Bingo ukweli siasa zake zime faili kuproduce leaders wa aminifu. Nina fikiri Mwalimu ame sahahu kwamba alivyo anza kampeni ya kupata Uhuru alikuwa ana pata ushuri kwa Bibi Titi mwanamke fanya utafiti utaona vipi Mwalimu alikuwa anajisifia kwamba bibi Titi alikuwa rafiki mkubwa, Hakuna kiongozi yoyote asi shauriwa na mke wake. Rais Mwinyi alikuwa ana shauria na First Lady mke wake, Same with Rais Mkapa,pia First Lady mke wake. Rais wa sasa Kikwete pia ana shauriwa na First Lady mke wake. At least on weza kumheshimu Rais Kikwete yeye hafichi ana mheshimu mke wake kwamba ana run the Ikulu yeye ndiyo bossi wanaendesha nchi kwa partnership siyo kama Rais wegeno wana penda kuficha kwamba influence ya First Ladies ni ndogo hiyo si ukweli. Hakuna shinda kwamba viongozi wakiwa wake wana influence kuongoza nchi. Sasa ni waki na karane 21 siyo kama zamani wakina mama wasomi na wana watalamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...