Bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” kuanzia tarehe 1 July 2012 itakuwa ikitoa burudani katika ukumbi wa Mzalendo Pub uliopo maeneo ya Makumbusho katika jengo la Millenium Tower.

Burudani itakuwa ikitolewa ukumbini hapo kwa kila siku za Jumapili mara baada ya kumalizika kwa Bonanza linalofanyika kila siku za Jumapili mchana kuanzia saa nane mpaka saa mbili za Usiku.

Twanga Pepeta wameamua kutoa burudani ukumbini hapo mara baada ya kuitikia maombi ya muda mrefu kutoka kwa wapenzi wa Twanga Pepeta wanaoishi maeneo ya jirani na Mzalendo Pub.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2012

    Sisi watanzania sio wabunifu,huo mtindo wa unenguaji tangu ulipoletwa na wazaire haubadiliki,hivi mnajua kuwa watu wamekinai huo mtindo jaribuni kuiga mwingine basi au mpaka DRC waletendo tuige????? aibu kwani kuwa msanii lazima uwe mbunifu na sio muigaji.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2012

    Halafu mbona wanavaa mavazi tofauti sana, inapendeza wakivaa style za nguo zinazofanana kidogo, sio mwingine suruali , na mwingine kaptula etc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...