Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM)Temeke, Pius Seleman ' Pukapuka' akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Uwenyekiti wa Umoja huo Wilaya ya Temeke Athumani Nyamlani jijini Dar es salaam leo,anaeshudia katikati ni Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Sandali Bw. Ramadhani Mgomi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2012

    vyeo zinazidi kupanda bei maana hiyo biashara kila mtu anaitaka sasa kwakuwa inalipa vizuri

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2012

    Walau we mdau hapo juu umekosa la kusema, maana ooh, watoto wa wakubwa, oh, wa mafisadi, ooh, hamna vijana CCM, haya mzee huyo anachukua fomu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...