Wabunge tisa wa bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki(EALA)wakiwa na Waziri wa Afrika Mashariki,Samweli Sitta na Naibu wake Abdallah Sadalah Abdallah wakiwa kwenye picha ya pamoja jana kwenye ukumbi wa bunge mjini Arusha kabla ya kuapishwa.
Wabunge tisa wa bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki(EALA)wakiwa kwenye picha ya pamoja jana kwenye ukumbi wa bunge mjini Arusha kabla ya kuapishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2012

    Hongera sana Wabunge wetu wa Afrika ya Mashariki,

    Pia kazeni buti kwa kuwa tunawategema muwe makini sana na hawa ndugu zetu Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi ktk Jumuia kutokana na tulivyowachunguza kwa:

    1-Tabia ya ubinafsi na ujanja ujanja kwa vile wengi wanachukulia kuwa Mtanzania ni mtu asiyesoma na haelewi mambo.

    2-Hawa jamaa wana rekodi mbaya na chafu ya tabia za Usanii, mfano Kenya ktk Masoko ya hisa wameweka Uhdibiti wa mwenendo wa Soko ktk Mfumo wa Elektroniki ili kukabiliana na wimbi la Waendesha biashara kwa Kughushi hisa.

    3-Kama walivyo ndugu zetu hapa Tanzania upande wa pili wa nchi yetu kwenye kivuko cha maji ya Bahari, wanachukulia vya kwetu kama ni vya Msituni, havina mwenyewe na Shamba la Bibi.

    4-Uganda wana aina ya Umwinyi wa kuwasaidia ndugu zao hata kama hawapo ktk haki.

    5-Burundi ni wabinafsi pia, na wachoyo wa mafanikio kwa watu wengine, juzi ndugu yetu Mtanzania aliwahi kutoa huduma za Ugavi wa bidhaa ktk Idara ya Polisi ya Burundi alipotaka malipo yake ya US$ 1.6 Milion alikamatwa mjini Bujumbura akaswekwa ndani ktk mazingira yasiyoeleweka.

    6-Rwanda wana ukarimu wa kujificha usoni isipokuwa wana Kampeni mbaya na ya (mipango ya siri) ya kuimarisha Himaya yao na kujikingia Maslahi yao ktk kila Idara.

    7-Ieleweke wazi ya kuwa hawa ndugu zetu wana mkono wa vita, na dalili ya migogoro mikali ktk jamii zao.

    HIVYO KWA HAYO YANGU MACHACHE NINAYOFAHAMU KUHUSU JAMII HIZI NACHUKUA NAFASI HII NIKIWAPENI UTANGULIZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...