Cane na Mganga wakijiandaa kuingia kwenye ukumbi wa kulia nondozzz wa Verizon Centre jijini Washington Dc
Mdau Cane Mwihava akisheherekea na dada yake Neema bada ya kula nondozzz zake
Mdau Mganga na familia yake wakisheherekea baada ya kuchukua nondozzzz zake
Wadau Cane Mwihava na Mganga Muhombolage wakiwa na Neema baada ya kukamata nondozzzz zao kutoka chuo kikuu cha Strayer University, Washington Dc.
Mganga Muhombolage akiwa na kaka yake aliyesafiri kutoka Tanzania kushuhudia mahafali hayo ya Chuo kikuu cha Strayer University.


KennyBoy - Braku! Congrats for your achievement, wishing you the best in your future endeavours. Obed, Leah, Liz and Christian.
ReplyDeleteCane!!!!kaka hongera sana am happy for your achievement.
ReplyDelete