Wakali Dancer wakiwa na bendera yenye nembo yao wakati wakisherehekea miaka 4 ya kuanzishwa kundi lao.
Kundi la Wakali Dancers likishambulia jukwaa.
...wakizidi kunogesha sherehe hizo.
...wakicheza wimbo wa Thriller ulioimbwa na Michael Jackson.
...wakizidi kupagawisha.
Wanamuziki wa Kings Taarab wakiwa jukwaaani.
Talent Band wakitoa burudani kwa mashabiki.
Msanii wa Kidumbaki akionyesha maujanja.
SHEREHE za miaka minne ya kundi la Wakali Dancers jana zilifana ndani ya ukumbi wa kisasa wa burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakheem, jijini Dar. Vikundi vya taarab vya Kings, Coast Modern na Kidumbaki kutoka Zanzibar pamoja na Talent Band vilifanya ‘bonge la kufuru’ kwa mashabiki waliofika katika ukumbi huo kwa ajili ya kuburudika wikiendi. Picha zote na Global Publishers
Kumbe wana 'KIDUMBAK' nao hawapo tiro! Si ajabu next time tukasikia na BENI nalo likiunguruma ndani ya Dar Live.
ReplyDeleteKidumbaki nimeipenda sana, ntapata wapi video yao. Mimi napendaga kuona vya kwetu pia. Haya mautamaduni ya kigeni ishakuwa tuu mach.
ReplyDeleteAnon. wa pili ingia youtube utakuta mpaka MSEWE huko pitia uchochoro huu http://www.youtube.com/watch?v=h5ncGpjKmVU
ReplyDelete