Wanyange wa miss Arusha walipotembelea kampuni ya bia TBL jjini hapa na kujionea jinsi kiwanda kinavyozalisha vinywaji aina tisa ikiwemo bia ambayo ipo karibuni kuingia sokoni ya Faru imbayo utengenezaji wake umeanza jana
Mashindano ya mwaka huu ya REDS miss Arusha yanatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mount Meru hotel Jijini Arusha hapa warembo wakijifunza mambo ya uzalishaji kwenye kiwanda cha bia TBL na wameahidi kuwa REDS MISS TANZANIA mwaka huu atatoka kanda ya kaskazini na si vingine Picha na Mahmoud Ahmad, Arusha
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...