Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa kwa gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Luanda, Angola May 31, 2012 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC. Anaongozwa na Waziri wa Nishati na Maji wa Angola Joao Baptista Borges.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe baada ya kuwasili Luanda Angola May 31, 2012 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika SADC Juni 1, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa Angola Jose Edwardo dos Santos katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleoo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC kilichofanyika Juni 1, 2012 Mjini Luanda Angola.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Maji wa Angola, Joao Baptista Borges baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Luanda nchini Angola May 31, 2012 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC Juni 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2012

    Mtoto wa mkulima mbona hujatekeleza ahadi yako ya kuachana na suti?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2012

    suti tamu jamani,ukiwa hauna suti ndio unaona si utamaduni.
    Basi angepiga matenge na kandambili za matairi ya gari-lol

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2012

    Ahhh jamani!

    Wewe unakuwa ktk ngazi ya Madaraka unakaa vikao na watu wa sekta za Madini na Nishati,yaani ni (FEDHA NA MTAJI),,,halafu uvae Kaniki?

    Ingekuwa wewe ungevaa rubega la Kaniki kwa Vikao nyeti kama hivyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...