Jumuiya ya Watanzania Roma inaungana na Watanzania wote kuomboleza vifo vilivyotokana na ajali ya meli ya MV SKAGIT karibu na kisiwa cha Chumbe, Zanzibar, tarehe 18 Julai 2012.Jumuiya pia inaungana na Watanzania wote duniani kuwaombea majeruhi wapone haraka na kurudi kwenye shughuli zao wa kila siku
Mungu ibariki Tanzania.
ANDREW CHOLE MHELLA
KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...