Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2012

    Trust me, and this is so real, wanawake wasingeumbwa na viuno wasingeweza kucheza muziki kabisaaa.

    Kila wanawake wanapocheza lazima watumie viuno, hata kama wamekaa kwenye benchi. Wakati mwingi huwa sipendi kuliona hilo, napenda wacheze tu bila viuno. Wanatumia viono kama excuse, vinginevyo hawajui kuyarudi mangoma ukilinganihsa na wanaume.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2012

    mdau wa mwanzo mjinga sana wewe na michuzi amekuweka comment yako sisi tunatoa za maana anazibadia kisa tuna wa expose mafisadi wenzake.

    hujui mwanamke katika kila kiwili wili chake ni thamani meaning ameubwa awe anavutia so lazima achezeshe kiuno wewe hujawahi kuwaona wanaume wanao chezesha viuon, hujawaona wazaire wanavyo cheza kila wakiimba nyimbo zao wanaume, wewe acha utumbo utobo wako huko, kiuno ni kiungo muhimu sana kwatika kiwili wili cha binadamu akiwa mwanamke au mwanaume na wanawake ndo wameubiwa wachezesha sana kuliko wanaume lakin leo mambo tafauti wanaume ndo wanachezesha utafikiri wanawake


    kazi kwako michuzi ukitaka weka hii comment ukitaka itupe because nishakushtukizia una ubinafsi wa hali ya juu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2012

    kakwabia nani wewe wanawake wasingekuwa na kiuno wasingecheza musiki weweeeeee usileta za kuleta hapa basi na wanaumwe wa kizaire na wenginewe wanaocheza siku hizi kwa kutumia viuno vyao unasemaje hilo

    na hujui kwamba mwanamke ni uwaa na kiuno ndo uwa lake.

    kuwa mkuu usitulete za kuleta hapa wote siku hizi wanatumia viuona hata katika tendo la ndoa ubo bitozi mchwara

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2012

    mwanaume hawezi kutumia kiuono kwa sababu hakivuti kiuno chake kama cha mwanamkee ndo muumba alivyotaka unaonyesha mdau wa mwanzo wewe una kasumba zako na hisi hata mama watoto wako hakukatikii ndo maana unapanik hivi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2012

    Kila mmoja anaweza kunengua kinachotakiwa ni mazoezi ya kunegembuka. Na mauno ni furaha, shangwe, mzuka, uroda yaani kuna namna nyingi za kuonesha furaha mojawapo ni mauno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...